KanisaSoft – Inua kanisa lako kidigitali

Rahisi, Kisasa na Salama
Simamia taarifa za washirika, wageni, matukio na hata fedha kwa ufanisi kupitia KanisaSoft. Mfumo bora wa usimamizi kwa makanisa ya kisasa.

Jisajili hapa

Viongozi wa Kanisa

Nafasi 1

Kiongozi Mkuu

Nafasi 2

Msaidizi wa Kiongozi

Nafasi 3

Mratibu wa Huduma

Kwanini utumie KanisaSoft?

Matukio ya Kanisa

Panga ibada, mikutano na sherehe maalum kwa kalenda ya kidigitali na inayoonekana kwa wote.

Mifumo ya Kundi

Weka viongozi wa vikundi na ufuatilie taarifa zao kwa usahihi.

Dashboard ya Viongozi

Mchungaji, katibu au mhasibu kila mmoja anaona dashboard yake yenye taarifa anazohitaji.

Fahamu zaidi kuhusu KanisaSoft

Kongamano la Vijana

Wasiliana kwa Haraka. Wafikie Wote.

Julai 26, 2024 • KanisaSoft

Kwa kutumia KanisaSoft, unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kwa washirika wako kwa wakati mmoja.

Ibada za Kati ya Wiki

Kanisa Lenye Mpangilio Linaanzia na Taarifa Sahihi.

January 12, 2025 • KanisaSoft

KanisaSoft hukuwezesha kuhifadhi taarifa za washirika kwa usalama na kwa mpangilio bora.

Harusi ya Kanisani

Huduma za Kanisa Bila Mipaka

Agosti 11, 2025 • KanisaSoft

Iwe uko ofisini, nyumbani au njiani—unaweza kuingia kwenye KanisaSoft kupitia kompyuta au simu yenye intaneti.

Tupo Tayari Kukusaidia!

Wasiliana na timu yetu kwa ajili ya majaribio ya mfumo, ushirikiano, au kuanza kutumia huduma zetu: